Demmy Harmony Foundation (DHF) imefika katika shule ya Kigera iliyoko Kata ya Nyakatende, Halmashauri ya Wilaya ya Musoma mkoani Mara na kuzungumza na walimu wanaojitolea shuleni hapo pamoja na kuwaeleza malengo na nia ya DHF kwa walimu wanaojitolea nchini.


Leave a Reply to Omary. a Hassani Cancel reply