Mwakilishi wa DHF, Richard Mswahili (kushoto) amefika katika Shule ya Kibaha Girls Secondary na kukutana na mwalimu wa kujitolea, Saku Antony ( katikati), ambapo amemueleza malengo ya taasisi na jinsi DHF inavyoweza kuwapa tabasamu walimu wanaojitolea.
Kulia ni Mkuu wa shule hiyo, Felister Mathias.

Leave a Reply to Richard edmund Cancel reply