Demmy Harmony Foundation (DHF) imefika katika Shule ya Sekondari Themi iliyopo Kata ya Themi, mkoani Arusha na kutoa elimu kuhusu afya ya hedhi pamoja na kugawa taulo za kike kwa wanafunzi wa shule hiyo wapatao 152.

Bonyeza hapa kwa picha zaidi –> https://www.facebook.com/share/p/1GXgcRB5eC/

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *