Taasisi ya Demmy Harmony Foundation (DHF) Februari 27, 2026 imeendesha zoezi la utoaji wa elimu kuhusu hedhi salama kwa wanafunzi wa kike katika Shule ya Msingi Erastus – Bunju B, iliyopo Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam.

Mbali na elimu hiyo, pia imegawa taulo za kike (pads) kwa wanafunzi ili kuwasaidia kujisitiri na kuendelea na masomo yao kwa kujiamini zaidi wakati wa hedhi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *