Call us for enquiry

+255 787 531 938

Mail us for enquiry

info@demmyfoundation.org

Timu ya DHF yashiriki Mafunzo Maalum

Timu ya Demmy Harmony Foundation (DHF) imeshiriki kwenye mafunzo maalum yaliyotolewa na kampuni ya Ideon Limited mkoani Arusha.

Mafunzo haya yamelenga kuongeza ufanisi na uwajibikaji katika utekelezaji wa majukumu ya DHF.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More Articles & Posts