Tabasamu na Mwalimu limewafikia walimu wanaojitolea katika shule ya Msingi Erastus iliyopo Bunju B, Dar es Salaam ambapo mwakilishi wa Demmy Harmony Foundation, Monica Karoli amezungumza na walimu hao na kuwaeleza kuhusu malengo ya taasisi hiyo na namna itakavyowanufaisha.

Leave a Reply